Ukisikia neno mahanjumati najua utakumbuka mambo ya mapishi. Ni kweli hapa tunazungumzia mahanjumati yaani ule utundu wa kuongeza viungo na utofauti wa mapishi ili kuleta Ladha tamu ya chakula. Basi leo tunazungumzia mahanjumati kwenye mahusiano na ndoa. Kama ilivyo kwenye mapishi mahanjumati yanamuhusu hasa mwanamke na si mwanaume basi hata leo mahanjumati ya mahaba kwenye mahusiano na ndoa yanamhusu hasa mwanamke. Mwanamke ongeza viungo, ujuzi na utundu kwenye mahusiano yenu na ndoa yenu utakuja kunishukuru.
Mwanamke usisubiri mpaka mwanaume aulize ama aombe ile kitu. Jaribu kuweka mahunjumati. Utaweka vipi mahunjumati katika hili.? Siku nyingine onesha kwamba hata wewe unahitaji. Jaribu kumuuliza hasa kwa meseji muulize kwa kutumia lugha ya mafumbo ili kujua kama siku hiyo mtakuwa na suala la kula chakula baada ya kula. Umeshindwa kumuuliza hivyo basi msubiri akirudi kutoka kazini mpokee na kisha mpe juisi ya matunda ambayo ulikwisha kuiandaa na baada ya hapo msindikize mkaoge wote. Mkiwa bafuni kuoga hakikisha utafanya kila mbinu mpaka mwenyewe ajue kuwa unataka. Mpo kuoga wawili unaogopa nini? Muombe akusugue mgongoni, jibinue kinamna ajue hitaji lako. Dondosha sabuni na uikotoe kwa namna ambayo yule babu atasimama na mnara na kujua wapi anatakiwa kuingia. Kumshawishi mkiwa huko bafuni hayo ndio mahunjumati yenyewe ya mahaba katika mahusiano ama ndoa. Mwanaume lazima ujivunie kuwa na wewe. Mkitoka hapo muombe akupake mafuta mwili mzima; mbinu hii lazima itampelekea yule babu kule mahala kusimama mnara na kujua leo kuna shughuli.

Siku nyingine unajua kabisa leo baada ya kula kuna kula basi usirudie mambo yale yale ya siku zote yaw ewe kuwa chini. Kila mtu anafanya hivyo. Jitadi kuwa tofauti. Fanya utundu Fulani katika hilo mpaka ashituke akidhani kua leo anatekwa. Kwani lazima kila siku muwe staili hiyo hyo tu ya wewe kuwa chini. Mbona kila siku mnakula na kumaliza bila kusemezana? Si umuulize amasikiaje? Si umwambie ageuke akae mkao mwingine. Hayo ndio mahanjumati ya mahaba. Mfanye afurahie hicho chakula.
Tangu asubuhi umejitanda vitenge kama unaenda kwenye kikoba ama kwenye msiba ukweni na bado akirudi mumeo unaendelea kuvalia hvyo hivyo ama upo kwenye dera kama upo kwenye shughuli. Nenda uvalie lile vazi ambalo usingeweza kuvaa mbele ya mtu mwingine ila yeye tu. Valia ile nguo ambayo akikuona lazima apate hamu ya kula. Valia nguo hiyo ndio uende kupika; muite aje aonje hiyo Samaki unayoipika huko jikoni. Akikujia kwa nyuma lazima ashawishike kukugusa kwa namna yoyote maana hilo vazi ni kishawishi tosha. Muonjeshe hicho kipande cha Samaki kutoka mdomoni mwako. Mfanye atambue kuwa leo kuna utofauti. Mfanye ajue leo kuna safari na dereva ni wewe. Mwanamke amka. Acha kuwa kawaida. Acha kuwa kama jana. Jaribu kuwa tofauti.
Bahati mbaya mambo haya hayafundishwi kwenye nyumba za ibada kule mnakopewa mafundisho ya ndoa na kufunga ndoa. Lakini Imani yangu ni kwamba baada ya kusoma ama kusikiliza hii Makala hautakuwa kama jana. Utaondoka ukiwa ukiwa na utofauti kabisa katika kuongeza mahanjumati ya mahaba katika mahusiano na ndoa.
Ndoa au mahusiano yenye yamekosa Ladha kwa kuwa kila kitu kipo vile vile kila siku. Mnakula chakula kile kile na katika mtindo ule ule kila siku hapo Ladha lazima ipotee. Ongeza udambwiudambwi, mahanjumati ambayo ndio viungo kwenye pishi la mahaba ya mahusiano na ndoa. Hii itakufanya wewe na huyo mpenzi wako mfurahie zaidi mapenzi yenu. Mpaka wakati mwinigine. Ni swala la Muda tu.

Leave a Reply