NKOSI WA AFRIKA

AfroSense and Style

NKOSI WA AFRIKA ni jukwaa la mtandaoni la matangazo linalotoa fursa pekee kwa wewe unaetafuta ajira au koneksheni fulani. Pia ni jukwaa linalota nafasi kwako muuzaji kumfikia mnunuzi walengwa kwa ufanisi kupitia matangazo. Hili ni jukwaa la mtandaoni kwa ajili ya kuwahudumia vijana. Tunakumbatia teknolojia ya kukuza vijana katika mifumo ya kidijitali kama vile youtube instagram, telegram, facebook twitter na kurasa za wavuti. Ni sehemu sahihi kwa vijana wa kitanzania kuunganishwa na soko la ajira kwa kupitia matangazo ya ajira mpya kila siku.

Tunatoa matangazo ya BURE kwa watangazaji kuwawezesha kufikia masoko yao bila kikomo na bila vikwazo. Nkosi wa Afrika inafanya kazi ya kuhakikisha matangazo yako yanafikia walengwa wengi kupitia mitandao yetu na tovuti shirikishi hivyo kurahisiha kazi kwako.

Wasiliana nasi leo ugundue ni jinsi gani Nkosi wa Afrika inaweza kukusaidia kukuza biashara yako