Mjasiriamali wa kilimo biashara, uchumi wa kigitali na maendeleo ya jamii.
mbobezi wa usimamizi wa biashara na hotelia, maendeleo ya jamii na usimamizi wa mashirika. Ni mwanzilishi wa NKOSI WA AFRIKA NA DIRA YETU AFRIKA. Mwandishi wa Habari na Msomi wa falsafa kwa ujumla na falsafa ya Afrika.
Leave a Reply